Wanaharakati na mashirika ya kijamii waandamana Maralal kushtumu visa vya ulawiti

  • | Citizen TV
    437 views

    Wanaharakati na mashirika ya kijamii wameshiriki maandamano mjini Maralal kushtumu kisa Cha ulawiti uliokuwa ukiendelezwa na mshukiwa mmoja ambaye ni raia wa kigeni anayezuiliwa na polisi. Kulingana nao wanataka haki Kwa waathiriwa wa matukio hayo,ripoti ya polisi ikiashiria vijana nane wamejipata katika Hali hiyo. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi.