Wanaharakati na wakazi waandamana Wajir baaada ya Gaala Aden kuuawa kwa kukataa ndoa

  • | Citizen TV
    552 views

    Wanaharakati, mashirika ya kiraia, na wakazi wa Wajir wameandamana dhidi ya mauaji ya kikatili ya Gaala Aden, msichana wa miaka 17.