Wanaharakati wa wanawake wanapaswa kuheshimu haki za wanaume

  • | BBC Swahili
    0 views
    Balozi Gertrude Mongella au Mama Beijing, Mwaka 1995, aligonga vichwa vya habari ndani na nje ya Afrika akiwa mwenyekiti wa kongamano la nne la wanawake la Umoja wa Mataifa la Beijing, China. @martha_saranga anazungumza na Getrude Mongela katika waridi wa BBC #bbcswahili #tanzania #waridiwabbc Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw