Wanaharakati waelezea wasiwasi kuhusu kutelekezwa kwa mtoto wa kiume

  • | KBC Video
    2 views

    Wana-harakati wameelezea wasiwasi wao kuhusu kutelekezwa kwa mtoto wa kiume huku mtoto wa kike akipewa umuhimu zaidi.Wakiongea kwenye warsha iliyodhaminiwa na baraza la kitaifa la makanisa-NCCK katika kanisa la Getembe Church of God kaunti ya Kisii, wana-harakati hao walihimiza kuwe na usawa kijinsia katika kuwashughulikia wavulana na wasichana huku wakikariri kuzindua kampeni ya kuhimiza usawa wa kijinsia katika jamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive