Wanaharakati waendeleza shinikizo dhidi ya serikali kuhusu utekaji nyara

  • | K24 Video
    40 views

    Taifa likisubiri kutafuta suluhu ya kudumu dhidi ya visa vya utekaji nyara vinavyoendelea kushuhudiwa,vijana na baadhi ya viongozi huko kisumu wametilia shaka kimya cha serikali na asasi husika za usalama. Wakiwasha mishumaa katika ibada ya kuwakumbuka walioaga kutokana na visa vya aina hii sasa wameapa kutozima sauti zao ila watazipaza zaiidi kutokomeza visa vya kiholelaholela vya utekaji nyara