Wanaharakati wafanya maandamano Nairobi

  • | Citizen TV
    1,907 views

    Mashirika yasiyokuwa ya serikali, Chama Cha Mawakili Nchini LSK na Muungano wa Madaktari KMPDU zimewasilisha ombi Lao Katika Bunge La Kitaifa Nchini