Wanaharakati waisuta serikali na idara ya DCI kwa kuwakamata wakenya kiholeholela

  • | K24 Video
    214 views

    Rais wa chama cha mawakili nchini Faith Ohiambo na makundi ya wanaharakati wameisuta serikali na idara ya DCI kwa kuwakamata wakenya kiholeholela bila kufuata sheria. Haya yamejiri kufuatia kukamatwa kwa mwanaharakati Bonface Mwangi nyumbani kwake na maafisa wa polisi maajira ya asubuhi na kumfikisha katika kituo cha polisi cha kamukunji. Inadaiwa onface mwangi aliwachochea wakenya kuzua vurugu wakati wa mbio za Standard chartered marathon kupitia mitandao yake ya jamii.