Wanaharakati wamshtumu Murkomen kwa kutowajibika juu ya lupotea kwa Brian Odhiambo

  • | NTV Video
    617 views

    Wanaharakati kaunti ya Nakuru wamemshtumu waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen kwa kutowajibika juu ya kupotea kwa mvuvi Brian Odhiambo katika mbuga ya wanyama pori ya ziwa Nakuru.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya