Wanaharakati wanatoa hamasisho kwa wanafunzi

  • | Citizen TV
    80 views

    Wanaharakati wanaopinga ukeketaji eneo la Kuria wameanza kutoa hamasisho kwa wanafunzi katika shule mbalimbali katika juhudi za kukabiliana na tamaduni hii