Wanajeshi washirikiana na mashirika kupanda mikoko Kilifi

  • | Citizen TV
    303 views

    wanajeshi zaidi ya 300 kutoka vitengo vya wanamaji, wanahewa na wale wa nchi kavu walijumuika na mashirika mbalimbali kwenye upanzi wa zaidi ya miche laki moja ya mikoko katika eneo la chafisi kaunti ya kilifi.