Wananchi Pokot Magharibi walalamikia kukithiri kwa uhalifu

  • | KBC Video
    7 views

    Badhi ya viongozi katika eneo la Pokot Magharibi wanahimiza vitengo vya usalama kuchukua hatua za haraka kukabiliana na visa vya uhalifu ambavyo vimekithiri katika eneo hilo huku wanawake wakilengwa zaidi.Viongozi hao wakiongozwa na mwakilishi wa kina mama kaunti ya Pokot Magharibi, Rael Aleutum na mbunge wa Kapenguria, Samuel Moroto waliwataka maafisa wa usalama kuwasaka na kuwakamata washukiwa wanaotekeleza uhalifu huo

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive