- 4 views
Wakazi wa visiwa vya Faza na Kiunga katika kaunti ya Lamu wametakiwa kuasi mila zilizopitwa na wakati ambazo zinazuia wanawake kushiriki kwenye shughuli za uvuvi. Wana-harakati katika eneo hilo wamesema desturi hizo zimewanyima wanawake fursa za kiuchumi mbali na kudumiza maendeleo ya kijamii.Kundi la vijana la Faza ambalo ni shirika lisilo la serikali linashirikiana na taasisi nyingine kuendeleza kampeni ya kuwashirikisha wanawake katika uvuvi mbinu za kuongeza thamani katika vyakula. Wakazi hao wanasema kuwa desturi hizo zmesababisha ubaguzi wa kijinsia na ukosefu wa usawa huku wanawake wakisalia bila fusa za kujipatia kipato na kujiendeleza.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Wananchi wa Lamu wahimizwa kuasi mila zilizopitwa na wakati
- 29 Nov 2024 - Angry residents of Syokimau/Mlolongo Ward on Thursday forced their MCA to wade through muddy roads in a bid to show the deplorable state of the estate.
- 29 Nov 2024 - Leaders allied to former DP Rigathi Gachagua on Thursday evening visited the DCI headquarters on Kiambu Road in a bid to demand for quick probe into chaos that were witnessed earlier in the day during a burial in Limuru.
- 29 Nov 2024 - Former Standard Group employees are demanding payment of their salary arrears and SACCO savings, accusing the media house of failing to honor their redundancy and severance pay commitment after laying them off.
- 29 Nov 2024 - He claims his grandfather bought the land at Sh900 in 1947, now worth Sh3 billion.Mosques, churches, schools and government installations occupy the land.
- 29 Nov 2024 - Savannah Clinker Chairman Benson Ndeta will spend the night in police custody after he was arrested on allegations of forgery, conspiracy to defraud, and uttering false documents.
- 29 Nov 2024 - Private entities allowed to recover proceeds of graft
- 29 Nov 2024 - IEBC boss warns of constitutional crisis over boundaries review deadline
- 29 Nov 2024 - ODM dismisses reports of coercion to vote by consensus
- 29 Nov 2024 - Kenya's high octane politics three years to next general elections
- 29 Nov 2024 - Kenya ranked top in Africa in cyber-dependent crimes, ahead of Nigeria and South Africa. Index found Kenya ranked high in criminality, criminal markets and cybercrime actors.