Wananchi waadhimisha mwaka mpya kwa bashasha

  • | Citizen TV
    1,778 views

    Wakenya wamekaribishwa mwaka mpya wa 2025 kwa sherehe na mbwembwe nyingi huku wengi wakifurika maeneo ya burudani na bustani mbalimbali. Fataki zilisheheni angani mkesha wa mwaka mpya huku wakenya wakionyesha matumaini kuwa mambo yatakuwa shwari mwaka mpya.