Wananchi waingia ofisi za afya kulalamikia malipo ya SHA

  • | Citizen TV
    1,044 views

    Kizazaa kilishuhudiwa katika ofisi za wizara ya afya baada ya kundi la kina mama waliobeba watoto wao kuvuruga mkutano wa Waziri wa Afya Deborah Barasa na wanahabari wakilalamikia kukosa huduma za afya kutokana na changamoto za bima ya afya - SHA- .