Wananchi wameeleza hofu kutokana na matamshi ya naibu rais Gachagua

  • | Citizen TV
    5,856 views

    Huku aliyekuwa naibu wa rais, Rigathi Gachagua, akidai maisha yake yamo hatarini, Bunge la Mwananchi likiongozwa na mwenyekiti wake, Lawrence Oyugi, sasa linamtaka kuandikisha ripoti na maafisa wa DCI kuhusu madai aliyotoa dhidi ya serikali, ikiwemo kuhusika kwa Rais William Ruto katika ufisadi na kuwa na mtagusano na makundi ya kihalifu katika taifa la Sudan