- 292 viewsDarzeni ya wanajeshi wa Congo wamewekwa kizuizini huko Bukavu, mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini, wakati mamlaka zikijiandaa kuwafungulia mashtaka wanajeshi wasiopungua 75 kwa kukimbia jeshini na vitendo vya ghasia dhidi ya raia, ikiwemo mauaji na uporaji. Kanda ya video kwenye mtandao wa kijamii iliyothibitishwa na Reuters Jumatatu (Februari 10) iliwaonyesha watu wakiwa na mavazi ya kiraia wakiingizwa kwenye Jela Kuu huko Bukavu. Mtazamaji katika kanda hiyo ya video aliwashutumu kuwa ni wanachama wa kikundi cha Cheetahs, kitengo cha jeshi la Congo, akisema “wanavuruga amani yetu.” Kuhusishwa kwa wafungwa katika video hiyo haukuweza kuthibitishwa na vyanzo huru. Reuters imethibitisha eneo hilo ni Bukavu kwa kulinganisha kuta za jela hiyo, lango kuu, miti yenye kuizunguka na milima na picha za satellite za eneo hilo. Wakati tarehe hasa ya kutolewa kanda hiyo ya video haikuweza kuthibitishwa na vyanzo huru, ilikuwa imepakuliwa kabla ya Jumatatu siku ya kesi. Chanzo cha jumuiya ya kiraia huko Kavumu, mji ulioko kilomita 35 kaskazini mwa Bukavu, ameiambia Reuters kuwa wanajeshi waliokimbia waliwauwa watu 10, wakiwemo saba kati yao waliokuwa wameketi baa Ijumaa jioni. Ofisi ya mwendesha mahtaka ya jeshi ilisema wanajeshi hao wanakabiliwa na mashtaka ya kukimbia kutoka mstari wa mbele baada ya waasi wa M23 kuuteka mji wa Nyabibwe, ulioko kilomita 70 kaskazini mwa Bukavu. Wanatuhumiwa pia kuhusika na ubakaji, mauaji, uporaji na uasi. (Reuters). #drc #congo #m23 #reels #voa
Wanaodaiwa kukimbia jeshini wawekwa jela kabla ya kesi kusikilizwa
- - SIGNING HUB ››
- 13 Feb 2025 - Kenya is staring at a condom shortage crisis following the funding freeze on United States Agency for International Development (USAID) programs.
- 13 Feb 2025 - The Southern African Development Community (SADC), comprising 16 member states, has officially urged its members to back Madagascar’s candidate in the African Union Commission (AUC) chairmanship elections set for Saturday, February 15.
- 13 Feb 2025 - A section of Members of Parliament allied to the Kenya Kwanza Alliance have come out to defend National Assembly Speaker Moses Wetangula following accusations of being biased in Parliament.
- 13 Feb 2025 - National Assembly Speaker Moses Wetangula now says that over 40 MPs had submitted requests seeking sponsorship to travel to Addis Ababa, Ethiopia, to support Raila Odinga ahead of the AUC Chairmanship polls on Saturday.
- 13 Feb 2025 - A section of Members of Parliament from the Western Kenya Parliamentary Caucus has defended National Assembly Speaker Moses Wetang’ula, condemning what they termed as a sustained and unjustified attack on his leadership.
- 13 Feb 2025 - Ombudsman also wants the department to establish mechanisms to curb corruption and unresponsive staff.
- 13 Feb 2025 - The petition was filed by former Law Society of Kenya (LSK) president Nelson Havi.
- 13 Feb 2025 - The government has been issued 60 days to process and pay all the pending 144 claims.
- 13 Feb 2025 - Kuria has been traversing the country drumming up support for Taifa Care.
- 13 Feb 2025 - The Commission on Administrative Justice (Office of the Ombudsman) is advocating for a comprehensive overhaul of the country’s pension system. Chairperson Charles Dulo has urged the government to adopt a holistic approach to tackle the significant…