Wanaopokea malipo ya uzeeni wana hadi tarehe 28 Februari kujisajili kwa mfumo wa kidijitali

  • | KBC Video
    614 views

    Kama wewe unapokea malipo ya uzeeni una muda wa hadi tarehe 28 mwezi februari mwaka ujao kujisajili chini ya mfumo mpya wa kuwasajili kidijitali watu wanaopokea malipo hayo la sivyo uondolewe kwenye orodha ya malipo hayo.Katibu katika wizara ya fedha Dr. Chris Kiptoo amesema serikali inatafuta njia za kuimarisha utayarishaji wa malipo ya uzeeni chini ya mfumo mpya wa kuharakisha utoaji wa malipo hayo.Kwa habari hizi na nyingine hapa ni mkusanyiko wa habari za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive