Wanaougua figo wazidi kulalamikia ugumu wa huduma

  • | Citizen TV
    454 views

    Wagonjwa wanaotafuta huduma za kuosha figo kwenye hospitali za kibinafsi chini ya bima ya afya ya NHIF wanazidi kulalamikia kukosa huduma hizo kufuatia kuanzishwa kwa bima mpya ya afya ya SHA. Baadhi ya wagonjwa wakilazimika kurejea nyumbani bila kupata huduma hii muhimu