Wanaougua selimundu wapandikizwa Uloto

  • | BBC Swahili
    236 views
    Hospitali ya Benjamin Mkapa mkoani Dododma imefanikisha matibabu ya watoto waliokuwa wanaugua selimundu baada ya kuwapandikizia Uloto Serikali ya Tanzania imewekeza zaidi ya shilingi bilioni 3.6 kwa ajili ya matibabu na operesheni za upandikizaji uloto ili kukabiliana na selimundu. Tanzania inashika nafasi ya nne kidunia na ya tatu kwa Afrika kwa kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa wa selimundu. #bbcswahili #tanzania #benjaminimkapa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw