Wanariadha wanne wa Tanzania wajifua kaskazini mwa nchi

  • | BBC Swahili
    511 views
    Magdalena Shauri ni mmoja wa wanaridha watakaoiwakilisha Tanzania mjini Paris kwenye mashindano ya Olimpiki yanayotarajia kung’oa nanga mwisho mwa juma linalokuja. Magdalena ambaye pia ni afisa wa jeshi la wananchi wa Tanzania ana matarajio makubwa ya kutwaa medali. Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds aliwatembelea na kuandaa taarifa hii. #bbcswahili #tanzania #olympic Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw