Wanasiasa wa Uhuru na Raila wafuzu kuhojiwa kwa nafasi za makatibu serikalini

  • | NTV Video
    2,675 views

    Wanasiasa wanaogemea upande wa rais mstaafu Uhuru Kenyatta na aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga wamefuzu kwenye orodha ya watakaohojiwa kuwa makatibu katika wizara tofauti ndani ya serikali jumuishi yaani "broadbased government".

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya