Wanasiasa Wachochezi Waonywa

  • | Citizen TV
    445 views

    Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Utangamano (NCIC) na Bunge la Kitaifa zimeahidi kuchukua hatua kali dhidi ya kiongozi yeyote atakayepatikana na hatia ya kuzidisha uhasama kati ya wakulima na wafugaji.