Wanasoka na Wanamitindo kunani

  • | BBC Swahili
    874 views
    Mwishoni wa Mwa juma Mwanasoka wa klabu ya Yanga na timu ya taifa ya Burkina Faso Aziz Ki amefunga ndoa na Mwanamitindo maarufu nchini Tanzania Hamisa Mobetto. Aziz anajiunga katika orodha ndefu ya wanasoka walioa watu maarufu. Unadhani kwanini wanasoka hupendelea wenza maarufu? Tupe maoni yako 🎥 @boshanyajejrSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw