Wanawake 6 waweka historia ya kutalii anga za mbali kwa dakika 11

  • | BBC Swahili
    7,164 views
    Mwanamuziki nyota wa Pop Katy Perry na wanawake wengine watano walisafiri hadi anga za mbali kwa roketi ya Jeff Bezos kwenda kutalii tu kwa muda wa dakika 11 Katika tukio la kihistoria lililotikisa dunia, roketi ya New Shepard ilirushwa kutoka Texas, Marekani, ikiwa imebeba kundi la kwanza la wanawake pekee kufika angani tangu mwaka 1963. Ingawa Blue Origin haijatoa bei kamili za tiketi lakini kiasi cha $150,000 kinahitajika ili kuhifadhi kiti ikionesha upekee wa safari hii ya kutalii angani Vipi unaweza kwenda kwenda kutalii angani? Asaha Juma anaelezea zaidi #bbcswahili #angazajuu #roketi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw