wanawake kutoka Adiedo wachukuwa nafasi ya wanaume ya kupasua mawe ya kokoto kujikimu kimaisha

  • | Citizen TV
    513 views

    Huku ulimwengu ukisherekea siku ya wanawake duniani, wanawake kutoka eneo la Adiedo eneo bunge la karachuonyo wanajivunia kuchukuwa nafasi ya wanaume ya kupasua mawe ya kokoto ili wajikimu kimaisha.