Wanawake saba wamebakwa katika siku za hivi karibuni

  • | Citizen TV
    195 views

    Taharuki imegubika vijiji vinne katika eneo la Magadi Kaunti ya Kajiado kufuatia visa vya ubakaji unaodaiwa kufanywa na kundi la watu wanaojificha misituni