Wanawake Samburu wafadhiliwa kukabili Tabianchi huku wakianzisha mipango ya kupambana na athari hizo

  • | Citizen TV
    101 views

    Mvua inaposhuhudiwa maeneo mbalimbali nchini, makundi ya akina mama walioathirika na mmomonyoko wa odongo pamoja na kiangazi cha msimu uliopita,wanakila sababu ya kutabasamu baada ya kupokea ufadhili wa kuwasaidia kukabili matatizo hayo.