Wanawake wampigia upatu Waiguru kuwa naibu rais

  • | KBC Video
    75 views

    Baadhi yawanawake kutoka eneo la Mlima Kenya wanampigia debe gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru kuwa naibu rais iwapo hoja y kubanduliwa kwa Rigathi Gachagua itadumishwa na bunge la seneti. Haya yanajiri huku baadhi ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Mt Kenya wakiunga mkono kung'atuliwa kwa Gachagua wakisema hakuwajibika ipasavyo katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive