Wanawake wanachama wa vyama vya usimamizi wa FUO katka kaunti ya kilifi walalamika

  • | KBC Video
    6 views

    Wanawake wanachama wa vyama vya usimamizi wa fuo katka kaunti ya kilifi wamelalamikia vikali kile wanachotaja kwa ubaguzi wa kijinsia kwenye uakilishi katika vyama hivyo. Maandamano yaliyoongozwa na wenyeviti wa vyama 20 chini ya muungamo wa Shella katika kaunti ndogo ya Malindi yalinuiwa kupinga mabadiliko ya sheria za uchaguzi ambazo wanasema zinawapendelea wanaume na kupuuza uongozi wa wanawake. Walitoa wito kwa idara ya uvuvi na uchumi wa baharini kuingilia kati kuhakikisha upo mchakato jumuishi wa uchaguzi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive