Wanawake wapokea mafunzo ya kukomesha ubaguzi

  • | KBC Video
    3 views

    Shirika lisilo la serikali la Humanity Global Faith kwa ushirikiano na taasisi ya Wawa Aba yameanzisha mkakati wa kurejesha hadhi kwa waliotengwa na kubaguliwa katika jamii. Akizungumza kwenye warsha iliyowaleta pamoja wanawake waliopitia madhila na ubaguzi, Andrea e Vassell ambaye ni mwanzilishi wa taasisi ya Wawa Aba alikariri kuwa kupitia mpango wa mafunzo na unasishi wamefanikiwa kuwapa kina mama matumaini, hadhi na uwezo wa kujitegemea.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive