Wandani wa rais Ruto wasema hakuna watu waliolipwa kuhudhuria mikutano ya Ruto Mlima Kenya

  • | Citizen TV
    9,410 views

    Wandani Wa Rais William Ruto Wamepongeza Na Kutetea Makaribisho Ya Rais Katika Ziara Yake Ya Mlima Kenya Wiki Iliyopita Wakisema Hakuna Watu Waliolipwa Kuhudhuria Mikutano Hiyo. Wakiongozwa Na Msaidizi Wa Rais Farouk Kibet, Viongozi Hao Waliendelea Kumkashifu Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua Kwa Kueneza Siasa Za Ukabila, Kama Anavyoarifu Emmanuel Too