Waombolezaji Kirinyaga waweka jeneza nyumbani kwa mshukiwa

  • | Citizen TV
    2,775 views

    Hafla ya mazishi iligeuka ukumbi wa malumbano na vurugu baada ya waombolezaji kutupa jeneza lililokuwa na mwili w amarehemu mlangoni pa mshukiwa wa mauaji yake katika kaunti ya kirinyaga. polisi walilazimika kutumia vitoa machozi kuwatawanya waombolezaji. na kama anavyoarifu brenda wanga, mali ya mshukiwa iliharibiwa na waombolezaji kabla ya washukiwa wawili kukamatwa na hatimaye mazishi kuendelea.