Waombolezaji kumzuia Mbunge wa Mathira kuzungumza Ndia, Kirinyaga

  • | Citizen TV
    1,463 views

    Balaa Mazishini Kirinyaga:

    Hafla ya mazishi yasimamishwa kwa muda

    Hii ni baada ya Mbunge Eric Wamumbi kumsuta Gachagua

    Mbunge huyo alidai Gachagua alimtelekeza marehemu