Wapalestina Gaza walivyofuturu pembeni ya majengo yaliyoharibiwa

  • | BBC Swahili
    42 views
    Karibu Wapalestina 5,000 walikusanyika huko Rafah ya Gaza pembeni ya majengo yaliyoharibiwa na mashambulizi katika siku ya kwanza ya Ramadhani kufungua mfungo wao kwa pamoja. Wakiwa wameketi kwenye meza ndefu zilizowekwa kati ya vifusi, familia zilingoja adhana kisha wakafuturu kwa pamoja. Futari hiyo ilitolewa na kugawiwa na watu waliojitolea. #bbcswahili #ramadhani #gaza Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw