Wapo wananchi wanaosema hata Ruto aondoke

  • | NTV Video
    4,730 views

    Mchakato wa kumfukuza kazi naibu Rais Rigathi Gachagua sasa umebadilisha siasa kwa wabunge wanasiasa, huku wale waliotia saini kuunga mkono hoja ya kumtimua haswa kutoka mlima Kenya, wakisalia kimya kimya tangu Jumanne, wasionekane wakizungumza kwa sauti kama ilivyokuwa awali, haijabainika iwapo hofu yao ni kutokana na hamaki za watu wa nyanjani ama "ground" anavyopenda kusema Gachagua au ni mbinu tu ya kisiasa wakisubiri Jumanne ijayo ambayo ndiyo siku ya ndovu kumla mwanawe.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya