Washika dau katika sekta ya kilimo wamtaka waziri kuhakikisha wakulima wanapata pembejeo za kutosha

  • | NTV Video
    139 views

    Washika dau katika sekta ya kilimo wamemtaka waziri aliyeteuliwa katika wizara ya kilimo Andrew Karanja kuhakikisha wakulima kote wanapata pembejeo za kutosha ili kuzalisha chakula cha kutosha nchini.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya