Washikadau wahofia janga la njaa Kilifi

  • | Citizen TV
    131 views

    Washikadau kutoka serikali kuu pamoja na maafisa wa mashirika ya kijamii kaunti ya kilifi wameonya kuhusu janga la njaa kaunti hiyo kufuatia ukosefu wa mvua kwa misimu mitatu mfululizo.