Washikadau wa kahawa wakongamana Kisii

  • | Citizen TV
    110 views

    Washikadau mbalimbali katika sekta ya kahawa wanaokongamana kule Kenyenywa kaunti ya Kisii wameitaka serikali kupiga jeki wakulima wa kahawa wanaozongwa na changamoto tele.