Washindi wa tuzo ya Mama wa Taifa watuzwa

  • | KBC Video
    29 views

    Washindi wa mwaka huu wa tuzo ya mazingira ya mama wa taifa walitembezwa kwenye mbuga ya kitaifa ya wanyamapori ya Nairobi. Washindi hao waliozuru mbuga hiyo walioandamana na mama wa taifa bi Rachel Ruto walihimzwa kujifunza kuhusu wanyamapori na kuwa watetezi wa uhifadhi wa mazingira na ulinzi wa mimea na wanyama humu nchini. Mwanahabari wetu Yusuf Farah anatusimulia yaliyojiri wakati wa ziara hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News