Washindi wawili wa Shabiki.Com wazawidiwa Ksh.574,000

  • | Citizen TV
    144 views

    Washindi wawili kwenye jukwaa la Shabiki.Com wamezawadiwa jumla ya shilingi 574,000. Victoria mwangi mkazi wa buru buru ndiye mshindi wa juma hili wa jiomoshe na Aviator ya Shabiki, huku Lydia Njagi akijishindia bonasi ya Shabiki Supa Jackpot.