Washukiwa kumi na tatu watoroka polisi Gigiri

  • | K24 Video
    16 views

    Maafisa 8 wa polisi wakiwemo kamanda wa kaunti ndogo ya Westlands na OCS wa kituo cha polisi cha Gigiri wamekamatwa na kuwekwa ndani kufuatia tukio la kutoweka kwa washukiwa 13 akiwemo mshukiwa mkuu wa mauaji ya miili iliyopatikana Kware Collins Jumaisi. Tukio hilo ambalo si geni limeibua maswali mengi kuhusu ulinzi katika vituo vya polisi...