Washukiwa wa genge linalojihami wakamatwa Kwale

  • | KBC Video
    56 views

    Polisi katika kaunti ya Kwale wamewakamata washukiwa 120 wanaohusishwa na genge la uhalifu la Panga Boys. Washukiwa hao wamekuwa wakiwahangaisha wakazi wa Diani na wametiwa mbaroni baada ya msako mkali wa juma moja. Kwingineko,bawabu mwenye umri wa miaka 70-aliuawa na watu wasiojulikana mjini Homa Bay, tukio ambalo limeibua wasiwasi miongoni mwa wakazi. Mwendazake alishambuliwa Alfajiri ya Jumamosi kwenye jumba moja la kibiashara alipokuwa akihudumu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive