Washukiwa watano wa mauaji ya mwanaharakati Richard Otieno wazuiliwa wakisubiri uchunguzi wa akili

  • | K24 Video
    32 views

    Washukiwa watano wa mauaji ya mwanaharakati Richard Otieno watazuiliwa katika gereza la Nakuru wakisubiria uchunguzi wa hali yao ya akili. Uchunguzi huo utafanyika katika hospitali ya Nakuru Level 5 katika siku saba na kisha watajibu mashtaka yanayowakabili. Wengine wanne wameachiliwa baada ya maafisa wa uchunguzi kukosa ushahidi wa kutosha wa kuwahusisha na mauaji ya tieno.