Washukiwa watatu wa kiliniki ya Body By Design wakosa kufika mahakamani

  • | Citizen TV
    192 views

    Watatu hao wanahusishwa na kifo cha Lucy Wambui

    Wambui alifariki baada ya kufanyiwa upasuaji

    Alifanyiwa upasuaji katika kiliniki ya Body By Design