Washukiwa watatu wa mauaji ya msichana Wajir kuzuiliwa kwa siku 14

  • | Citizen TV
    160 views

    Wanahusishwa na mauaji ya msichana wa miaka 17

    Gaala Aden alichomwa hadi kufa kwa kukataa ndoa