Washukiwa watatu wakamatwa kwa mauaj ya msichana Wajir

  • | KBC Video
    724 views

    Polisi wamewatia mbaroni washukiwa watatu wanaohusishwa na kifo cha msichana wa miaka 17 katika kaunti ya Wajir. Gaala Aden Abdi aliuliwa na mwili wake kuchomwa baada ya kukataa kuolewa na mwanamume wa miaka 55. Akithibitisha kukamatwa kwao, msemaji wa huduma ya kitaifa ya polisi Muchiri Nyaga, amesema mwanaume huyo wa miaka 55 ni miongoni mwa waliokamatwa, wakitarajiwa kushtakiwa makahakamani siku ya jumanne.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive