Washukiwa watatu wamekamatwa kuhusiana na mauaji ya msichana Wajir

  • | Citizen TV
    1,805 views

    Gaala Abdi aliyekuwa na miaka17 alichomwa hadi kufa