Washukiwa wawili wa ujambazi wazuiliwa katika gereza la Machakos baada ya kukanusha mashtaka ya wizi

  • | Citizen TV
    451 views

    Washukiwa wawili wa ujambazi wamezuiliwa katika gereza la Machakos baada ya kukanusha mashtaka ya wizi ambayo yanawakabili. Vincent Avagalwa Salano na Purity Koki Makau waliofikishwa katika Mahakama ya Machakos Alhamisi wameamrishwa kuzuiliwa katika magereza ya wanaume na wanawake ya Machakos GK mtawalia kufuatia agizo la mahakama.