Washukiwa wawili wakamatwa na maafisa wa polisi kuhusiana na sakata ya kuuza bidhaa ghushi

  • | Citizen TV
    3,283 views

    Washukiwa wawili wamekamatwa na maafisa wa polisi huku wengine watatu wakisakwa kuhusiana na sakata ya bidhaa ghushi. Polisi na maafisa wa afya waliwafumania wawili hao wakipakia upya bidhaa zilizoharibika eneo la Embakasi, ili kuweza kuziuza tena. mmiliki wa biashara hiyo anasakwa na polisi.