Wasichana Kajiado wapata elimu kuhusu unyanyasaji na kujiamulia maisha yao

  • | NTV Video
    11 views

    Wasichana kutoka kaunti ya Kajiado, hasa kutoka maeneo ya kekonyoike na suswa, wamepata elimu kutoka kwa washauri kuhusu unyanyasaji na kuwa na sauti katika uamuzi wa mambo yanayohusu maisha yao.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya